Bukobawadau

UPDATE:MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016

MUHIMU KUSHARE NA WENGINE :Baraza la Mitihani nchini (NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%. Shule za Feza boys, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, shule za Dar zaburuza mkia kwa kutoa zaidi ya nusu, shule kumi za mwisho.
BONYEZA HAPA KUYAONA >> MATOKEO (CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES) 
Next Post Previous Post
Bukobawadau