Kuhusu kukatika Kwa Maji mjini Bukoba ni kutokana na hatua ya Shirika la
Umeme Tanzania (Tanesco) kuwakatia Umeme wadaiwa wote sugu na mashirika
Umma ikiwa ni pamoja na BUWASA mpaka hapo watakapo lipa madeni.
Wakazi wa Mitaa ya NHC Kashai wakiwa na ndoa za maji kichwani
Sakata la maji bukoba leo Jumanne Machi 29,2017 ikiwa ni baada ya BUWASA
Kukatiwa umeme na Tanesco kwenye vyanzo vya maji kutokana na kudaiwa.
Manispaa ya Bukoba hatuna maji siku ya tatu sasa.
BUWASA wanadai ni
deni la mkandarasi aliyefunga mtambo na wizara yaani Serikali ndiyo
inatakiwa kulipa. Na wizara haina pesa hakika ni changamoto
Hali hii ni fursa kwa waendesha pikipiki maarufu Mjini hapa kama Asecdo.
Hii ni taswira Mjini Bukoba leo jumanne machi 29,2017 hapa ni mtaa wa tupendane.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Sasa hapa Serikali inaikomoa BUWASA au wananchi wake wasio na kosa lolote? Kweli mnyonge hana haki Tanzania.
Post a Comment