Bukobawadau

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZIMELETA ATHARI YA MIUNDOMBINU KEMONDO BUKOBA

 Mvua zinazoendelea kunyesha Bukoba zimeleta athari mbalimbali kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu ya barabara
 Eneo la Bulila Kemondo Bukoba Vijijini ,Barabara ikiwa imekatika kufuata Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kuleta usumbufu kwa abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari katika kipindi hichi cha mvua zinazoendelea kunyesha.
#Bukobawadau #May12,2017

Next Post Previous Post
Bukobawadau