Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wafanyabiashara mbalimbali wa nchini pamoja na Afrika ya Kusini wakati
aliposhiriki pamoja na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma katika Jukwaa hilo la Wafanyabiashara jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma akisoma hotuba yake katika Jukwaa hilo la
Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini lililofanyika jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo
na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kutoka kwenye Jukwaa hilo la
Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini lililofanyika jijini Dar es
Salaam.
Sehemu
ya Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania na Afrika Kusini waliohudhuria katika
Jukwaa hilo la Wafanyabiashara jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment