TANZIA:KIFO CHA BADRU KAITABA
Bukobawadau imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Kaka yetu,rafiki
yetu Badru Kaitaba aliyekuwa Dereva maarufu na mchezaji wa Zamani Balimi
FC kilichotoke katika hospitali ya rufaa ya Bugando Leo Jumapili May 21,2017 kufuatia ajali ya
gari aliyoipata mjini hapa hivi majuzi ..
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!