Hili ndilo ingizo jipya wiki hii ni kati ya Bukoba - Mwanza kwa kila siku, 'FRESTER' ni mabasi ya kisasa kabisa yenye reputation nzuri ,Comfort and Luxury.
Kwa ajili ya Booking mjini Bukoba ofisi zipo stendi kuu ya mabasi au kwa mawasiliano 0764016061
Mwanza - Nyegezi wasiliana nao kupitia 0753905297 /0755048177
Mwanza - Nata 0755440066 , Muleba - Stendi 0787934433
WEWE Abiria na mkazi Bukoba,Kemondo,Muhutwe,Muleba ,Ilemela,Kasharunga, Kibaoni, Magarini, Mganza, Nyamilembe,Chato, Bwanga,Buseresere, Katoro, Geita, Kasamwa, Siima, Sengerema,Nyampanda,Buhongwa,Mwanza na Shinyanga,USIPATE adha ya barabarani daima hepuka usumbufu na ubabaishaji safiri kwa mabasi ya 'FRESTER'
Kwa huduma za usafiri zenye hadhi ya juu sana Wasiliana nao kupitia nambari 0764016061 Mwanza - Nyegezi wasiliana nao kupitia 0753905297 /0755048177Mwanza - Nata 0755440066 ,Muleba - Stendi 0787934433
Muda wa Safari kutoka Bukoba saa 12:30 Asubuhi, saa 2;30 na 3:30 kila siku Asubuhi
Muda wa safari kutoka Mwanza ni saa 12:00 Asubuhi, saa 1:30 na saa 3:00 Asubuhi
Wanaonekana Abiria wakiwa tayari kwa ajili ya safari ya kuelekea Jijini Mwanza
Muonekano wa ndani wa basi alfajiri ya leo muda mchache kabla ya safari ya kuelekea Mwanza
0 comment:
Post a Comment