SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

30 June 2017

MATENGENEZO YA BARABARA MJINI BUKOBA

Mjini Bukoba kinachoendelea ni matengenezo ya kipande cha barabara kilichokuwa kikipingiwa kelele kwa muda mrefu chini ya Manispaa ya Mji.
Mitambo ya kazi ikiendelea kurekebisha sehemu ya barabara korofi Manispaa ya Bukoba.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU