Bukobawadau

BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI

 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala amewataka wakandarasi wanaopewa kutekeleza miradi ya maendeleo wilaya ya Missenyi kukamilsha miradi kikamilifu vizuri na kwa wakati. Balozi Kamala anaonekana akikagua ukarabati wa zahanati ya kata Kakunyu. Balozi Kamala amekataa kupokea mradi wa ukarabati wa zahanati hiyo baada ya kuambiwa umekamilika wiki mbili zilizopita.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala wakati akikagua mradi wa Ukarabati wa Zahanati ya kata Kakunyu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau