PICHA DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU HAJJAT MASTURA ABDALLAH - LONDON NA KATORO








Taswira wakati kisomo cha Dua kikiwa kinaendelea



Mdau familia ya Kagangana.




Mdau akiwasili eneo la tukio kushiriki shughuli ya kisomo cha Dua hiyo







Taswira mbalimbali kutoka eneo la tukio kijijini Itoma Katoma

Muendelezo wa matukio ya picha kutoka kijijini Katoro- Itoma.


Utamaduni mkubwa kwa Wahaya (Ishara ya heshima) kuinama wakati wa kula

Wadau wakiendelea kupata sadaka iliyoandaliwa na familia ya Marehemu Hajjat Mastura Abdallah

Huduma ikiendelea kwa kasi kutoka jijini hakika mambo yalikuwa ni poawa kabisa

Muonekano swadakta wa Menu..!


Taswira wakati waalikwa wakiendelea kupata hubani ulioandaliwa na familia ya Marehemu Hajjat Mastura Abdallah

Wadau pichani wakisalimiana kutakiana kheri



Baadhi ya wadau wakiwasili kushiriki shughuli ya kisomo cha Dua hiyo
KISOMO CHA DUA KILICHOFANYIKA IGUNGA TABORA NYUMBANI KWA MTOTO WA MAREHEMU HAJJAT MASTURA ABDALLAH

Huko Igunga Mkoani Tabora ndugu na wanafamilia walijumuhika pamoja marafiki nyumbani kwa Mtoto wa Marehemu kumuombea Dua Hajjat Mastura Abdala

Matukio ya picha kutoka Igunga.
KISOMO CHA DUA HUKO LONDON NYUMBANI KWA BINTI YAKE ZAHARA ABDALLAH


Hivi ndivyo shughuli ilivyokuwa nyumbani kwa familia na Mr Dattani na mke wake Bi Zahara Abdallah huko Coulsdon nchini Uingereza




Sehemu ya matukio wakati waalikwa wakipata huduma ya Chakula shughuli iliyoendana sawa na Kijijini Itoma Katoro na Igunga kwa binti wa Marehemu Hajjat Mastura Abdallah

Inshallah tuendele kumuombea Mama yetu Mungu ampe pumziko la milele Amina..!

Marafiki wa familia wakipata picha ya kumbukumbu na Bi Zahara Abdallah (katikati)

Marafiki wa familia wakishow Love na Bi Sonia Dattani wa mbele pichani

Mr &Mrs Dattani katika picha na rafiki wa familia

Matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu mara baada ya shughuli ya kisomo cha Dua iliyofanyika nyumbani kwa Mr Dattani (katikati) na mke wake (pichani kulia )ambaye ni mtoto wa kuzaliwa na Marehemu Hajjat Mastura Abdallah

Mwisho bukobawadau tunaungana na familia kuendelea kumuombea kwa mola wetu ampe pumziko la milele Hajjat Mastura Abdallah