Bukobawadau

TASWIRA KATA KANYIGO WILAYANI MISSENYI

 Muonekano wa Mji Mdogo wa Kanyigo Wilayani Missenyi,mji maarufu wa Wasomi unaotenganisha nchi za Tanzania na Uganda
  Kata ya Kanyigo Wilayani Missenyi ni miongoni mwa Kata chache nchini ambayo hata kwenye mikutano ya vijiji wazee huenda na nakala za Katiba na matoleo ya sheria mpya ili kupingana na hoja hata kama mjadala wenyewe unahusu kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa.
 Barabara kuu ya Kanyigo kuelekea Kata Kashenye.
 Hii ndiyo Kanyigo ambayo wasomi wake walihakikisha Kata yao inapata mawasiliano ya simu(TTCL)ili wasipate shida ya kuwasiliana na ndugu zao wanapokuwa Ulaya.Walijengewa hata kituo cha Posta kama kinavyo onekana pichani
 Vijana wakiwa wanaendelea kuwajibika kwa shughuli za uwendeshaji wa pikipiki maarufu kama bodaboda
 Njia panda kuelekea Kijiji cha Bugombe Kata Kanyigo
 Kituo cha mafuta kilichopo Kanyigo
Muonekano wa Jengo la Posta lililopo kata Kanyigo Wilayani Missenyi
Next Post Previous Post
Bukobawadau