Bukobawadau

WAHANDISI WASISITIZA WASICHANA KUJITUMA MASOMO YA SAYANSI LINDI.

Mhandisi kutoka WizarayaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara, Bi. LiberathaAlphonce, akielekeza jambo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Nachingwea mkoani Lindi, kuhusu umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hesabu. 
Wanafunziwa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Nachingwea mkoani Lindi,wakimsikiliza Mhandisi kutoka WizarayaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (SektayaUjenzi),Kitengomaalum cha ushirikishwajiwawanawakekatikamasualayabarabara, Bi. LiberathaAlphonce (hayupopichani), alipofika shuleni hapo kuhamasisha umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hesabu.
Maabara ya Shule ya Sekondari ya wasichana ya Nachingwea mkoani Lindi, licha ya kukamilika lakini bado inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa vifaa.
 Jengo la maabara la Shule ya Kutwa ya Nachingwea Sekondari, ambalo halijakamilika kutokana na uhaba wafedha, hali inayopelekea wanafunzi hushindwa kujifunza masomo ya sayansi kwa vitendo kutokana na changamoto hiyo.
 Wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara, wakisikiliza maoni kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kilwa, mkoaniLindi (hawapo pichani), walipofika shuleni hapo kuhamasisha usomaji wa masomo ya Sayansi na Hesabu kwa wasichana.
Next Post Previous Post
Bukobawadau