MWILI WA MCHUNGAJI EGEBERT KANYAMBO UKIWASILI MJINI BUKOBA

Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo likiwa limebebwa mara baada ya kuwasili Mjini Bukoba leo Jumamosi Oct 21,2017 kwa usafiri wa Ndege ya Shirika la ndege la Air Tanzania (ATCL) aina ya aina ya Bombardier Q 400

Dada Rose Kajilita pichani kushoto akiwa ameongozana na Mjane wa Marehemu mara baada ya kuwasili Mjini Bukoba kutokea Jijini Dar,Mazishi ya Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo yatafanyika Siku ya Jumatatu Nyumbani kwake Kijijini Kagoma Muleba

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi-Bukoba Abedinego Kesho mshahara akisalimiana na Mjane wa Marehemu Mch.Egebert Kanyambo mara baada ya kuwasili kwa mwili katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa Bukoba


Eneo la mapokezi wanaonekana waumini na Wachungaji Kanisa la Kiinjili la Kilutheri


Baadhi ya Waombolezaji wakimfariji Mama Mchungaji.

Sehemu ya yawafiwa na waombolezaji wakiwa na huzuni mkubwa mara baada ya kuwasili kwa Mwili wa Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo


Pole sana Mama Adventina Matungwa kwa kuondokewa na Shemeji yako



Baadhi ya waombolezaji waliofika kuupokea Mwili wa Marehemu Mch.Egebert Kanyambo

Msafara wa mapokezi nje ya Uwanja wa Ndge mjini Bukoba

Sasa msafara tayari kuelekea Kanisa kwa ajili ya kushiriki Ibada .


Wanafamilia wakibadilishana mawazo

Ndege iliyokuwa imebeba mwili wa Mchungaji Egebert Kanyambo ikiwasili Mjini Bukoba
Mwili wa Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo ukiwasili katika Kanisa kuu la Kilutheri Mjini Bukoba
Mama Mchungaji akiwa ameongozani na mwanae wa mwisho..!
Sehemu ya Waumini na waombolezaji wakielekea Kanisani kwa ajili ya kyushiriki Ibada ya kuuaga mwili wa mpendwa wetu marehemu Egebert Kanyambo
Ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mjini Bukoba Ibada maalumu ya kuuaga Mwili wa Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo ikiendelea
Mmoja wa wombolezaji akitoa mkono wa pole kwa wanafamilia na watoto wa Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada ndani ya Kanisa kuu la Kiinjili la Kilutheri Mjini Bukoba
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Marehemu Egebert Kanyambo
Taswira mbalimbali kutoka ndani Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Mjini Bukoba Ibada ya kuuaga mwili wa Mchungaji Egebert Kanyambo
Taswira mbalimbali kutoka ndani Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Mjini Bukoba Ibada ya kuuaga mwili wa Mchungaji Egebert Kanyambo
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi-Bukoba Abedinego Kesho mshahara akiongozi Ibada ya kuuaga Mwili wa Mch.Egebert Kanyambo leo Jumamosi Oct 21,2017 mara baada ya kuupokea mwili wa Marehemu katika Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba.
Ibada ikiwa inaendelea...
Muendelezo wa matukio ya picha kutoka ndani Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Mjini Bukoba
Wanakwaya wakiimba nyimbo za mapambio na kumsifu Bwana
Msemaji wa familia ya Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo akitoa neno la shukrani
Muendelezo wa matukio ya picha kutoka ndani Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Mjini Bukoba
Jeneza linafunuliwa kwa ajili ya kutoa heshima za Mwisho
Ndani ya Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea
Hao ni wanafunzi walioshiriki Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo
Katika kuwafariji wafiwa na kutoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa mpendwa wetu Mchungaji Egebert Kanyambo
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho
Zoezi la kutoa heshima za mwisho likielekea kukamilika,Apumzike kwa amani Mch.Agbert Kanyambo.
Wanafamilia wakitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa mpendwa wao Marehemu Egebert Kanyambo
Mara baada ya kutoa heshima za mwisho, msafara ulielekea Mochwari kwa ajili ya kuhifanyi mwili ambapo uatalajiwa kuzikwa siku ya Jumattu Oct 23,2017 Kijijini Kagoma Muleba
S

Semeji wa Marehemu mchungaji Egebert Kanyambo akiwafariji watoto wa Marehemu



Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo likielekea kuhifadhiwa mochwari ya hospitali Kuu ya Mkoa Kagera


Eneo la Maegesho nje ya Mochwari mara baada ya Mwili wa Marehemu Mch.Egebert Kanyambo kuhifadhiwa ,na mazishi yake yanatalajiwa kufanyika kesho Jumatatu nyumbani kwake Kijijini Kagoma Wilayani Muleba

Taswira vilima vya Kibeta na Kashura kutoka Usawa wa Hospitali kuu ya Mkoa Kagera

Taswira vilima vya Kibeta na Kashura kutoka Usawa wa Hospitali kuu ya Mkoa Kagera