Bukobawadau

UZINDUZI WA DARAJA LA FURAHISHA MWANZA

Rais Magufuli pia alizungumzia baadhi ya maeneo yanayotakiwa kubomolewa mkoani Mwanza.
Amewaomba viongozi wa mkoani Mwanza, kusitisha bomoabomoa hadi pale atakapotoa maagizo mengine.
"Kwa mujibu wa sheria zote nchini, nasema msiwabomolee, naomba wizara zote na viongozi wote mkae pamoja muangalie ramani na mtoe mapendekezo mapya."

Amesema, yapo maeneo hayakwepeke, akitolea mfano, karibu na viwanja vya ndege hatari yake inaweza kuwakuta wanaoishi maeneo hayo, ama karibu na jeshi na polisi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau