Bukobawadau

TANZIA: MZEE ALHAJI HARUNA MUGURA AFARIKI DUNIA

Kwa masikitiko tumepokea taarifa za kifo cha c Mzee Alhaji Haruna Mugura mmoja wa wazee wa Mji wa Bukoba na mfanyabiashara maarufu ,Mazishi yake yanatalajiwa kufanyika nyumbani kwake kijijini Kanyigo 17 siku ya kesho Alhamisi Nov 2,2017
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!
Next Post Previous Post
Bukobawadau