Bukobawadau

MATUKIO MKESHA WA MAULID MJINI BUKOBA

 Matukio ya picha yaliyojiri kutoka Uhuru -Bukoba wakati wa Mkesha wa Maulidi ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yanayofanyika kila mwaka kitaifa na kuhudhriwa na Viongozi mbalimbali  pamoja na wananchi kutoka kila pande za mkoa wa Kagera na nchi za Jirani Kama Uganda na Rwanda na wageni maakum kutoka Dar es Salaam.
 Sheikh Mkuu wa Mkoa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta pichani kushoto akiongoza alambee fupi kwa ajili ya kutatua changamoto Vyombo vya matangazo (Sound System) vitakavyo kuwa vinatumika kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kiislam
Pata muendeleza wa matukio ya picha na Sehemu ya Video mbalimbaliWaislamu wote Mjini Bukoba leo wameungana na waislamu wengine duniani ili kusherehekea siku ya sherehe za maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W.) shughuli ambayo imepambwa na mambo mbalimbali ikiwamo maandamano ya amani katikati ya Mitaa ya Manispaa hiyo kuelekea Uwanja wa Uhuru utakapofanyika mkesha wa sherehe hiyo kimkoa
 Mdau Shaban Ndyamkama pichani
Baadhi ya akina mama wa kiislamu wa kutoka maeneo mbalimbali wakifatilia kinachojiri
Pata muendeleza wa matukio ya picha na Sehemu ya Video mbalimbali
 Baadhi ya Waumini wa kiume wa Kiislamu wakifatilia mawadha
Muendelezo wa matukio
 Kivutuo kikubwa wakati wa Mkesha wa Maulidi ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) ni burudani ya Dufu Kabambe kutoka Kijijini Ntoboora
Tazama Video hapa Chini
#bukobawadauDes1,2017
Next Post Previous Post
Bukobawadau