Bukobawadau

TANZIA:KIFO CHA BI ANASTAZIA KOKUGONZA RWECHUNGURA WA KIJIJINI GERA

Familia ya Mzee Rwechungura wa Kijijini Gera wanasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa Bi Anastazia Kokugonza Rwechungura kilichotokea juzi tarehe 26/12/2017 Nyumbani kwake Gera.Mazishi yanatalajiwa kufanyika tarehe 5/1/2018 baada ya taratibu kukamilika

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amina!!
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA...JINA LAKE LIHIMIDIWE
Next Post Previous Post
Bukobawadau