Bukobawadau

NASAHA ZA SHEIKH HARUNA KICHWABUTA JUU YA UMOJA...

Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta amewataka Waumini wa madhehebu ya dini zote kuukataa UDINI katika jamii yetu ambayo tayari imeshajijengea heshima ya umoja na mshikamano
Sheikh ameyasema hayo katika hafla na Dua ya kuwapongeza Hajjat Mwajab Galiatano na Al hajj Hamis Rajabu waliporejea kutoka katika Ibada ya Hijja katika maeneo matakatifu ya Makka Siku ya Jumapili Sep 9,2018
 Al hajj Hamis Rajabu Galiatano wa pili kutoka kushoto katika picha ya pamoja na kaka zake kutoka kushoto ni Al hajj Nuru Galiatano,Al hajj Sadick Galiatano na Badru Rajabu Galiatano
 Umati wa watu nje ya Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba waliofika kumlaki Hajjat Mwajabu Galiatano 
 Taswira mbalimbali nje ya Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba
Mzee Pius Ngeze akiwa ameungana na wadau wengine kuwapokea Hajjat Mwajabu Galiatano na Mdogo wake Al Hajj Hamis Rajabu wakitokea Makkah katika ibada ya Hijja 
Bi Afsa Galiatano katika picha na Hajjat Mwajabu Galiatano
  Taswira kutoka nyumbani kwa Hajjat Mwajabu Galiatano katika katika hafla na Dua ya mapokezi  
 Muendelezo wa matukio ya picha katika hafla na Dua ya mapokezi ya Hajjat Mwajabu na Al hajj Hamis.
#Bukobawadau
Next Post Previous Post
Bukobawadau