Bukobawadau

CALENDAR YA MAFUNZO YA MWAKA 2019 KUTOKA LINDAM ACADAMY

Mkurugenzi wa LINDAM ACADEMY Omulangira Focus Lutinwa anapenda kuwakaribisha wadau kujiandikisha kwa ajili ya kupata mafunzo ya kozi mbalimbali ,LINDAM ACADEMY ni sehemu pekee inayowakutanisha wataalam ,vijana wajasiliamali na waliomaliza vyuo kwa ajili ya mafunzo,kujenga mtandao,kuongeza uzoefu na usimamizi wa Ujuzi muhimu katika kusaidia kutimiza malengo na ndoto zako.
For further information
Please Contact info@lindam.co.tz or Call: +255 757 627 278
Located at: 6th Floor, Tanzanite Park - Plot 38, Ali Hassan Mwinyi Road, Dar es Salaam
Next Post Previous Post
Bukobawadau