SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

08 January 2019

IBADA YA MATANGA YA MAMA ANASTASIA GEREVAS RWECHUNGURA KIJIJINI GERA

Familia ya Marehemu Mzee Gerevas Rwechungura wameungana na jamaa na majirani na marafiki katika Ibada takatifu ya Matanga mwaka mmoja toka alipotangulia mbele ya haki Mama yao mpendwa Ma Anastasia Gerevas Rwechungura,Mwenyezi Mungu aendelee kumpa pumziko Jema huko aliko,Ameen!!
Inaendelea......

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU