Arena Grand Motel ina eneo zuri na salama kwa ajili ya maegesho ya magari
Mkurugenzi Arena Grand Bwana Sudi Kabano muungwana mwenye nidhamu na upendo wa hali ya juu anapenda kuwakaribisha @ArenaGrandMotel

Unapata fursa ya kufurahia maua mazuri na yaasili pamoja na Upepo safi kutoka Ziwa Victoria
Kwa huduma nzuri na ya kisasa ya Malazi tembelea ARENA GRAND
Vyumba vizuri na vitanda vikubwa
Sehemu ya mapokezi utakutana na wahudhumu nadhifu wenye kupendeza.
Arena Grand Motel ni sehemu sahihi kwa mapumziko yako.
Kuelekea mapokezi
Taswira mbalimbali mazingira ya arena grand MOTEL Kwa maelezo zaidi wasiliana nao kwa simu No. 0756050612 /0757890966
0 comment:
Post a Comment