Bukobawadau

NI SIMANZI MAZISHI YA BIBI HELLEN FREDRICK BARUTI KIJIJINI BURUGO MUGEZA -BUKOBA


Hakika ni simanzi na vilio ndivyo vimetawala kwa wanafamilia katika Mazishi ya Mama yao mpendwa Bi Hellen Fredrick Baruti wa Burugo Mugeza -Bukoba yaliyofanyika nyumbani kwake na kuhudhuriwa na Umati wa waombolezaji kutoka nje na ndani ya nchi.
Muendelezo wa matukio ya picha Mazishi ya Mpendwa wetu Bi Hellen Fredrick Baruti
 Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu Ma Hellen Fredrick Baruti
 Kutoka familia ya Kataraia pichani msemaji wa familia hiyo ,,Mwl Mujuni Joseph Katarai aliyefiwa na Dada yake akitoa neno.
 Wasifu wa mpendwa wetu Ma Hellen ukisomwa na Binti yake Evelyn Baruti
 Neno la familia lilitolewa na Mtoto mkubwa wa Marehemu,Harold Baruti
Harold Baruti akiendelea kutoa neno la shukrani kwa wote walioshiriki katika kumuuguza mama yao yao mpendwa mpaka kufikia hapa na kumpumzisha kwenye makazi yake ya Milele.


Salaam za rambirambi kutoka kwa wanachama wa 'Bikolwongozi'
 WanaBukoba Town akitoa salaam za rambirarambi,pichani Bwana Frances Mtungi na Bwana Abdul  Galiatani
Bi Jovitha Njunwa pichani akiwa na rafiki yake walioongozana na wafiwa kutoka Jijini Dar.
Muendelezo wa matukio ya picha.
 Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Ruta Lwabigeni akikabidhi rambirambi
Mh.Mbunge Rwakatare akitoa Salaam za rambirambi
Mzee Winston Baruti kulia kwake ni Bwana Hassani mwakilishi wa Bi Beatrice wa SA ambaye ni rafiki wa familia
Mnec Mkoa Kagera ,Ndgu Wilbroad Mtabazi akitoa salaam za rambirambi kwa niaba yake mwenyewe na kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi CCM.
 Bwana Almasoud Daudi Kalumuna (Kamala) akikabidhi ubani wake kwa Kaka Harlod Baruti
 Taswira mbalimbali msibani hapo
 Mendelezo wa matukio ya picha


Bwana Nkwama akitoa salaam zake za rambirambi
Katikati ni Bwana Ruga Baruti akifuatiwa na Bwana Nkwama.
 Bwana Optaty Henry (Katibu) akitoa heshima kuuaga mwili wa mama yetu Ma Hellen Fredrick Baruti
 Utaratibu wa kuaga Mwili wa mpendwa wetu ukiwa unaendelea.






 Vilio na Machozi vikitawala wakati wanafamilia wanatoa heshima zao za mwisho
 Kwa heri Mama ..!Kwa heri mlezi wetu...,kwa heri mwalimu... kwa heri mzazi #tutaonanabadae
 Mr &Mrs Mussa Katabaro wakitoa heshima wakati wa kuaga mwili wa Ma Hellen Fredrick Baruti.
 Joha Lugenge na Mzee Mjuni Kataraia
 Alex na swahiba yake pichani
 Bi Melisa Barti
 Mr. Pajero pichani
 Mkubwa Justuce Rugaibula na Bwana Hamim Mahamood wakiendelea  kushiriki mazishi yao
 Smart Baitani (Cosad)
Bwana Ruga Baruti na Chichi Nyamwihula
 Vijana Maalum wakiwa wakiongoza Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wetu kuelekea eneo la kabri

 Kwaheri mpendwa wetu,nyuma yako mbele yetu
Nyuso zenye huzuni wakati  Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu likiigizwa kaburini..
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa matukio zaidi ya picha na Sehemu ya Video
Poleni Sana ndugu.
 Utaratibu wa kuweka mashada ya maua kwa mpendwa wetu ukiendelea
 Baba Mdogo wa familia ya Mzee Fredrick Baruti akiweka shada la maua
 Wanafamilia wakiweka mashada ya maua
 Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
 Mzee Masabala akiwa tayari kuweka shada la Maua
 Mama Merry Rwabizi akiweka Shada la Maua
 Mama Merry akiwafariji wafiwa.
 Muonekano wa kaburi la Mrs Hellen Fredrick Baruti
Wanafamilia kwa pamoja wakiweka Mishumaa kwenye kaburi la Mama yao Mpendwa
Eneo la kaburi shughuli ya mazishi ikiwa inaendelea.
 Bwana Smart Baitani akibadilishana mawazo na mmoja wa waombolezaji msiba wa mpendwa wetu Bi Hellen Fredrick Baruti
Chirstopher Chichi Nyamwihula na Bwana Rahym Kabyemela wakiweka shada la maua
 Al hajji Abbakari Sued, BwanaJuvenary, Mzee Salum Mawingo (Organizer) na Mlangira Deo Lubaibla
 Mama Mwaja na Mama Bayona pichani ni sehemu ya waombolezaji msiba wa Ma Hellen Fredrick Barti
 Muendelezo wa picha mbalimbali, Adv Ishengoma akibadilishana mawazo na marafiki wa familia
Waombolezaji wakiendelea kubadilishana mawazo
 Bwana fadhili na Bwana Jamal marafiki wa familia
Mzee Super Self Mkude
MWISHO #Bukobawadau tunatoa pole kwa wafiwa wote kwa msiba huu mzima ,Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani Mama yetu,Mungu awatie nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu.

Next Post Previous Post
Bukobawadau