Bukobawadau

SIMANZI MAZISHI YA MPENDWA 'OMWAMIKAZI' APOLONARIA LUTINWA KIJIJINI GERA -KIZIBA

Huzuni, simanzi na majonzi katika Mazishi ya mpendwa wetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa Mke wa Omukama Lutinwa wa Kiziba yaliyofanyika jana Nyumbani kwa familia *Omkikaale* Gera
 Watoto watatu kati ya Wanne wa kuzaliwa na Mpendwa wa kuzaliwa na 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
 Taswira wakati wa Ibada ya Mazishi ya Mama yetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi
Ni huzuni mkubwa kwa Watoto wanne pichani wa kuzaliwa na  'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
Kaka Harlod Baruti pichani katika mazishi ya Mpendwa mama yetu  'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
Mapadre wakiendelea kuongoza Ibada ya mazishi
 Salaam za rambirambi kutoka kwaViongozi wa Kata ya Gera
 Mh. Diwani Bitegeko wa Kata ya Gera akimkabidhi Omulangira Focas Lutinwa rambirambi
 Ndugu Siraji Kichwabuta  pichani
 Salaam zarambirambi kutoka kwa ndugu wa Mpendwa wetu wa Nchi Rwanda
 Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
  Dada zake na 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
  Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
 Padre akitolea jambo ufafanuzi
 Msemaji wa Ukoo wa Omulangira Lutinwa akitoa neno la Shukrani
 Umati wa waombolezaji wakishiriki Ibada ya mazishi hayo yaliofanyika Kijijini Gera
 Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
Wanafamilia wakitoa heshima kwa mwili wa Mama yetu mpendwa.

 Poleni Sana wafiwa poleni wanafamilia
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho (last respect) ukiendelea kwa watu wote
 Bwana Jamal Kalumuna na Mr Matambula wakati wa kutoa heshima zao za mwisho
 Bwana Lutta Rwabigine mmoja wa waombolezaji walioshiriki mazishi ya mama yetu mpendwa Mama Focas Nyakilu Lutinwa ('Omwamikazi') Apolonaria Lutinwa
Poleni sana ndugu kwa kumpoteza mama yenu mpendwa
 Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta akitoa heshima zake za mwisho
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho (last respect) kwa mpendwa wetu ukiendelea
 Neno la familia likitolewa na Kaka wa familia Omulangira Deo Lutinwa
 Wakati neno la familia likitolewa
 Kuelekea eneo la kaburi kumpumzisha mpendwa wetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima mwenyezi Mwenyezi ampe pumziko la milele mama yetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa.!!

Jeneza lenye mwili wa mama yetu mpendwa likiingizwa kaburini
Ni machozi na vilio vikiendelea kutawala

Mapadre wakiongoza utaratibu wa kuweka Udongo kwenye kaburi
Baba Paroko wa parokia ya Mugana akiweka Udongo kwenye kaburi
Mapadre walioongoza Ibada ya mazishi wakiweka Udongo kwenye kaburi la 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa
Wanafamilia na Waombolezaji wakiweka udongo kwenye kaburi
Utaratibu wa kuweka udongo ukiendelea

Padre Egidius Kataruga akiweka msalaba kwenye kaburi

 Utaratibu wa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi 
 Wakati wa kuweka mashada ya maua
 Utaratibu wa kuweka mashada kwenye kaburi
 Hivi ndivyo ilivyokua safari ya Mpendwa wetu  'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa tumwombe Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
Wajukuu katika Utaratibu wa kuweka mishumaa kwenye kaburi

Mlangira Ben Kataruga akibadilishana mawazo na ndugu yake Padre Egidius Kataruga
Wanafamilia wakiteta jambo kwa pamoja.
 Bwana Wince Mwenyekiti wa Lugoye na Ndugu Ishengoma pichani katika mashi ya mama yetu mpendwa 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa Mke wa Omukama Lutinwa wa Kiziba 
 Mh. Msafiri Nyeme wa Nshunju  akisalimia na Omulangira Ben Kataruga ni mapema katika shghuli ya mazishi ya Mama Focas Nyakiru Lutinwa 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa 




 Omulangira Charles Lutinwa
 Baadhi ya waombolezaji wakicheck na Camera yetu msibani hapo
 Watoto wa mpendwa wetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa wakiwa na mkwe wa familia hii pichani katikati
 Muondelezo wa matukio ya picha mazishi ya 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa Mke wa Omukama Lutinwa wa Kiziba
 Taswira mbalimbali msibani hapo
Kaka mkubwa wa familia ya  Omlangira Kataruga katika picha na Omulangira Focas Lutinwa
 Al hajj Salum Mohamed (Mawingo) akimfariji Mlangira Focas Lutinwa kufuatia msiba huu wa mama yake mpendwa
 Mlangira Charles Lutinwa akiteta na Kaka yake Mlangira Focas Lutinwa
 Waombolezaji wakiendelea kuwafariji wafiwa
Wajukuu wa Mpendwa wetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa  wakiendelea kufanya yao 
 Omlangira Deo Rugahibula na mke wake pichani
 Katika hili na lile mara baada ya shughuli ya mazishi ya mama yetu mpendwa kukamilika
 Mzee Matambula, Omlangira Ben Kataruga na Kaka yetu Harlod Baruti pichani
 Bwana Alanus Kashalaba akiwasalimia wazee wa mji wa Bukoba walioweza kungana na waombolezaji wengine katika Msiba huu
 Bwana Alanus Kashalaba na Mzee Cathbert Basibila katika picha ya pamoja
Katika picha ya pamoja ni baadhi ya marafiki wa group la whatsapp lijulikanalo kama 'BUKOBA TOWN' lilipo kwa ajili ya kusaidiana ,kupashana na kuelimishana
 Wanafamilia ya Kashalaba katika picha ya pamoja
 Bwana Bushira, Bi Lilian Peter na Bi Hope wa Makoko wakiwa wameungana na waombolezaji wengine msibani kijijini Gera
 Muondelezo wa matukio ya picha mazishi ya 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa Mke wa Omukama Lutinwa wa Kiziba 
 Yupo pia mzee Seif Mkude pichani kulia.
Pole sana Bi Halima Nsubuga kwa kumpoteza mama mkwe wako
 Mara baada ya Mazishi kukamilika wafiwa wakifarijiana
 Wafiwa wakifarijiana mara baada ya mazishi.
 Yupo pia Adv Protas Ishengoma akiwa ameungani na waombelezaji wengine
 Kiongozi Divo Rugaibula pichani
 Hakika ni simanzi kubwa kwa msiba huu.
 Omulangira Deo Rugaibula na Omulagira Deo Lutinwa wakiteta jambo mara baada ya shughuli ya mazishi
 Familia ya Nshubuga wakiwa wanamfariji Dada yao Halima Nsubuga pichani katikati
Muonekano wa kaburi la mpendwa wetu Mungu aipokee roho yake R.I.P 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa.!!
#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima mwenyezi Mwenyezi ampe pumziko la milele mama yetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa.!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau