Wanafamilia wakishiriki Ibada
Miongoni mwa miradi aliyoisimamia na kuifanikisha ni pamojs na majengo kadhaa ya Taasisi za Umma kama Magereza,Jeshi la Polisi na Majengo ya Shirika la milipuko na vilipuzi la Mzinga,Morogoro
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho wa ukurasa huu kwa mtiriko mzima wa matukio
Wanakwaya wakiwajibika.
Msafara kuelekea eneo la Ibada ya kumuaga mpendwa wetu Mhandisi,Omulangira James Deogratius Kikenya.
Mama Sarah Kikenya mjane wa marehemu Omulangira James Kikenya pichani kulia.
Bi Willielmina Balyagati akitoa heshima za mwisho kwa Babu yake Omulangira James Kikenya.
Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka akitoa neno la kuwafariji wafiwa kama rafiki wa karibu wa familia ya Marehemu mzee wetu na Mama Sarah Kikenya
Salaam za rambirambi kutoka kwa Mr.Chiefman
Bi Jack Kikenya Binti wa Mtoto wa Omulangira James Kikenya akitoa neno la Shukrani
Neno la shukrani kwa niaba ya familia
Mwalimu Omutwale Bocko akitoa neno
Mazishi ya Omulangira Kikenya Kijijini Kitobo
Kaka Harlod Baruti akishiriki Ibada ya kumuaga mzee wetu Omulangira James Kikenya.
Sehemu ya Mapadre walioongoza Ibada ya Mazishi hayo
Muendelezo wa matukio ya picha.
Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu likiingizwa kaburini
Shada la maua kwa niaba ya Mama yao mzazi Ma Yudes Galiatano
Profesa Anna Tibaijuka akiweka shada la maua
Watoto wa Marehemu Omulangira James Kikenya wakiweka Shada la maua.
Baby Sigh akiweka shada la maua
Mama Sarah Mjane wa marehemu mara baada ya kuweka Shada la maua
Wawakilishi wa Serikali wakiweka Shada la maua
Wajukuu wakiweka mashada ya maua
Bi Mercy akiweka shada la maua
Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
Ndugu Side Kikenya na Adv. Lugazia katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele mzee wetu
0 comment:
Post a Comment