Bukobawadau

UMATI MKUBWA WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA BI SELESTINA JONAS KABEKENGA

Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Bi Selestina Jonas Kabekenga aliyefariki Juma lililopita tarehe 31 May,2021 Katika hospital ya Mkoa Kagera alipokuwa akipata matiba.
Bibi Selestina Jonas pichani enzi za Uhai wake
Pichani ni baadhi ya watoto wa kuzaliwa na mpendwa wetu Bi Selestina Jonas katika picha na mmoja wa wajukuu Bwana Aziz Kichwabuta muda mchache kabla ya Ibada ya mazishi yaliyofanyika Kijijini Ijumbi Rubya Wilayani Muleba.
Wakati Padre akiwasili nyumbani hapo na kupokelewa na Ndugu Majid Kichwabuta..
Ndugu Raju na Bwana Majid Kichwabuta pichani..
Wanakwaya Wakiwajibika
Baadhi ya waombolezaji waliohudhuria mazishi ya mpendwa Bi Selestina Jonas.
Pichani ni watoto wa kuzaliwa na Marehemu Bi Selestina Jonas
Katika hili na lile wanaonekana Wajukuu wa Marehemu Bi Selestina Jonas,pichani ni Aziz Kichwabuta na Hakim Kichwabuta
Katika hali ya Simanzi anaonekana Mama Johari Kichwabuta (kushoto) kufuatia msiba huu wa Mama yake mzazi
Waka Mwana pichani ni Mrs Hassan Kichwabuta (Bi Hawa) ,Mrs Majid Kichwabuta (Mama Shamila) na Mrs Moha Kichwabuta.
Hajjat Jamila Songoro na Khalid Galiatano wakiwafariji wafiwa mara baada ya kuwasili msibani hapo
Sehemu ya wanafamilia wakiwa na nyuso za huzuni.
Taswira mbalimbali wanafamilia wakiwa wameungana na waombolezaji waliofika kuwafariji
Bi Johari kichwabuta pichani.

Heshima za mwisho kwa mpendwa wetu,
Nenda mama,Tangulia mpendwa wetu tutaonana badae
Watoto wa marehemu wakitoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao


Wasifu wa Marehemu Bi Selestina Jonas  ukisomwa na Mjukuu wake Hakim Kichwabuta
Hakim Kichwabuta  pichani
Murungi Badru Kichwabuta pichani..

Salaaam za rambirambi kutoka makuta mbalimbali
Mama Muhazi akitoa mkono wa pole kwa Mama Johari Kichwabuta
Viongozi wa Umoja wa Jumuhiya ya Wanawake wa Kiislam wa Kata ya Rwamishenye Bukoba wakitoa pole kwa Mama Johari ambaye ni Mtoto mkubwa wa kuzaliwa na Bi Selestina Jonas
Bi Levina (Mama Edson) kushoto akipokea rambirambi kutoka kwa mwakilishi wa kikundi
Bi Edna(kushoto)  ambaye ni mtoto wa mwisho wa kuzaliwa na mpendwa wetu Bi Selestina Jonas akipokea rambirambi kutoka kwa mwakilishi wa kikundi cha kina Mama wenzake
Salaam za rambirambi na Ubani vikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali.

Padre akiendelea kuongoza Ibada Muda mchache kabla ya kuelekea eneo la kaburi.
Familia ya Kichwabuta ikiongozwa na Sheikh Haruna kichwabuta wakati wa utambulisho
Al hajj Salum Muhamed Mawingo (Organizer) .
Bwana Badru Kichwabuta akiteta jambo na Wadogo zake pichani
Wajukuu wakiwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Bibi yao Mpendwa Bi Selestina Jonas Kabekenga
Hii ndiyo Safari ya mwisho ya mpendwa wetu Bibi yetu ,mlezi wetu Bi Selestina Jonas
Eneo la kaburi mazishi yakiendelea...


Muendelezo wa matukio ya picha wakati mazishi yakiendelea
Eneo la kaburi Ibada ya Mazishi ikiendelea...
Padre akisimika msalaba kwenye  kaburi la mpendwa wetu Bi Selestina Jonas Kabekenga
Utaratibu wa kuweka mashada na Mishua kwenye kaburi la mpendwa wetu Bi Selestina Jonas
Muonekano wa nyumba ya Milele ya Bibi yetu mpendwa Selestina Jonas Kabekenga
Mwenyezi mungu ailaze roho yako mahala pema peponi Amina..
Taswira mbalimbali msibani hapo.
Muendelezo wa matukio ya picha
Mwisho umati mkubwa wa waombolezaji katika kuwafariji wafiwa..

Muendelezo wa matukio ya picha mara baada ya Shughuli ya mazishi,Waombolezaji wakiendelea kuwafariji wafiwa.....

Haruna Goronga na Majid Kichwabuta pichani

Muendelezo wa matukio ya picha,Mazishi ya Bi Selestina Jonas
MWISHO tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045


Next Post Previous Post
Bukobawadau