Bukobawadau

NENDA SALAMA MALEOKADIA KOKUTUNGISA MWENDO UMEUMALIZA NA IMANI UMEILINDA !


Nenda Salama MPENDWA Omwamikazi Maleokadia Kokutungisa Protas, Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani Umeilinda.

Watoto wa kuzaliwa na mpendwa wetu MALEOKADIA wakiongozwa na Chief Protaz wakiwa katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu,muda mchache kabla ya Ibada.
Chief Protaz akiteta jambo na Mdogo wake pichani kulia
 
Matukio yote ya picha na video na #BUKOBAWADAU Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043Tutaonanabadae

Muda Mchache kabla ya Ibada ya Mpendwa wetu Maleokadia Kokutungisa Protas Iliyofanyika mwishoni mwa juma Kijijini Gera Wilayani Missenyi
Ibada ya ndani ya Mpendwa Maleokadia Kokutungisa
Mlangira Focas Lutinwa,Ndugu Kakulu Katunzi na waombolezaji wengine katiba mazishi ya mpendwa wetu Kijijini Gera-Missenyi.
Frank Kajo,Mlangira Ben Kataruga,Mtaalam Shaffi,Jamal Kalumuna na Mzee Kayondo wakiwa wamejumuhika na waombolezaji wengine hapa Kijijini Gera Katika Mazishi ya mpendwa Maleokadia Kokutungisa Protas
Ndugu Chief Porotaz akiweka mazingira sawa ya Jeneza lenye mwili wa mama yake mzazi.
Muendelezo wa matukio ya picha msibani hapo.
Mapadre  wakiongoza Ibada ya Mazishi ya mpendwa Maleokadia.
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa wamehudhuria mazishi hayo
Taswira eneo la maegesho barabara ya Gera mwendo wa lami....
Nenda Mama kapumzike salama MaLeopkadia mwendo umeumaliza
Padre Egidius Kataruga akiongoza Ibada ya Mazishi ya mpendwa Maleokadia.
Taswira mbalimbali msibani hapo.
Matukio ya picha mbalimbali msibani hapo.
Wanaonekana Wajukuu wa familia ya Maleokadia Kokutungisa
Watoto wa kuzaliwa na Mpendwa Maleokadia Kokutungisa wakiendelea na Ibada ya mazishi iliyofanyika Nyumbani kwao Kijijini Gera Mwishoni mwa juma
Neno la Bwana likisomwa...
Waombolezaji msibani hapo  wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi
Omwamikazi Nyakilu (Maforoda) Jirani na rafiki wa familia akiwasili msibani hapo...
Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Maleokadia
Aliyesimama pichani ni Kaka Mberwa.Kaka mkubwa wa familia ya mpendwa wetu Maleokadia Protaz
Padre Egidius Kataruga akitoa heshima zake za mwisho
Heshima za mwisho zikitanguliwa na Viongozi wetu wa Dini
Frank Kajo akitoa heshima zake za mwisho
Mlangira Focas Lutinwa wakati wa kutoa heshima zake za mwisho
Muendelezo wa matukio ya picha wakati wa kutoa heshima za mwisho
Mkwe wa mpendwa Maleokadia akitioa heshima zake za mwisho
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea....
Ndugu Andrew kwa simanzi kubwa akitoa heshima zake za mwisho.
Wajukuu wakiongozana kuaga mwili wa Bibi yao mpendwa
Nenda Salama Bibi...Tutaonana Badae!!
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wetu ukiendelea...
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea...
Chief Protaz akitoa heshima zake za mwisho kwa Mama yake mpendwa.
Vilio na Simanzi kubwa kwa wanafamilia wakati wa kutoa heshima zao za mwisho
Nenda Salama Mama yetu MaLeokadia Kokutungisa

Umati mkubwa wa watu ukifatilia mahuburi ya Ibada ya Mazishi
.Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Pia tuna Offer kabambe ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe mbalimbali hii ni Huduma kutoka kwetu Siku zote @bukobawadau
Mwendo ya Barakoa kivingine...
Dk Venus Mboneko pichani
Ndugu Kadogo akitoa salaam za rambirambi
Pole Sana Chief Protaz..
Ndugu Chief akitoa Wasifa wa Mama yetu Mpendwa,Maleokadia
Salaam za rambirambi zikiwakilishwa na Mzee Kayondo kutoka Jijini Dar es Salaam.
Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali.
Kuelekea eneo la Makaburi
Hii ndiyo safari ya mwisho ya mpendwa wetu Maleokadia Kokutungisa Protaz
Nenda Salama Mama yetu,Bibi Mlezi mama wa huruma na Upendo
Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wetu likiingizwa kaburini...


Taswira mbalimbali wakati mazishi yanaendelea....
Padre  akiweka Udongo kwenye kaburi la mpendwa wetu
Kaka Mberwa akiongoza wanafamilia wengine kuweka Udongo kwenye kaburi la mpendwa wao
Ndugu Kakulu Katunzi,rafiki wa familia akiweka udongo kwenye kaburi
Raha ya milele umpe Ee Bwana; Na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani Maleokadia; AMEN
Taswira mbalimbali mara baada ya mazishi.
Mlangira Kataruga akiteta jambo na Mwalimu wa wengi pichani kulia
Wakifuatilia matukio ya papo kwa papo ya bukobawadau kupitia simu zao za Viganjani
Picha kwa ajili ya kumbukumbu
Wana Mugeza Sekondari 90s katika picha ya pamoja
Ndugu Kadogo pichani kulia 
Kaka Mberwa akiteta jambo na rafiki yake Kakulu Katunzi aliyefika msibani habo kwa ajili ya kumfariji.
Omwamikazi Maleokadia pichani Enzi za uhai wake ,Mama alikuwa mwanamke mcha Mungu na msomaji wa Biblia mwenye bidii na mpenda Ibada.
Mishumaa ikiwekwa kwenye kaburi la mzazi wetu Maleokadia Protaz pichani wanaonekana watoto wa marehemu wakiongozwa na Chief Protaz
Wakwe wa familia wakiweka Shada kwa pamoja
Picha Standard ni wakati Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu likiingizwa kaburini
Wakati Jeneza likiingizwa kaburini
Mwalimu Pius akibadilishana mawazo na Padre Egidius Kataruga
Kikao cha ndani cha wanaukoo kwa pamoja mara baada ya Mazishi ya mpendwa wao Maleokadia Kokutungisa Protas
Marafiki katika picha ya pamoja mara baada ya kushiriki Mazishi.
Mlangira Ben Kataruga,
Padre Egidius Kataruga na Dr.Mboneko katika picha ya pamoja mara baada ya kushiriki mazishi ya mpendwa wetu Maleokadia Kokutungisa Protaz
Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau