Bukobawadau

MAELFU WASHIRIKI MAZISHI YA MLANGIRA FREDRICK LINTON BARUTI WA BURUGO -BUKOBA

Umati mkubwa wa Waombolezaji watu mashuhuri ,Wanasiasa na Viongozi wa dini wameshiriki Mazishi ya Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Linton Baruti yaliyofanyika  Siku ya Ijumaa Nov26,2021 Nyumbani kwake Kijiji Burugo na kuongozwa  na ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba, Dk Abednego Keshomshara

Katika picha ni Watoto wa kuzaliwa na Mlangira Fredrick Baruti wakiwa kwenye Ibada ya mazishi ya Baba yao mpendwa.
Waombolezaji wakifutilia kinachojiri msibani hapo
Ndugu pichani na Kaka Ruga Baruti katika Ibada ya mazishi ya Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Baruti
Umati wa Waombolezaji wakiwa tayari kushiriki Mazishi ya Mlangira Fredrick Baruti.
Umati mkubwa wa Waombolezaji wameweza  kushiriki Mazishi ya Mlangira Fredrick Baruti.
Meza ya wachungaji wakiongozwa na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba, Dk Abednego Mushahara
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Mlangira Fredrick Linton Baruti.

Wasifu wa mpendwa wetu ukisomwa na Binti yake mkubwa Evelyn Baruti

Kwa umuhimu Bi Evelyn anatoa shukrani za dhati kwa wote walioshiri kumuuguza Baba yao,kwa namna ya pekee wao wanatoa shukrani za dhati kwa Kaka Harlod Baruti na mke wake.

Dada Evelyn Baruti akitoa Wasifu wa Mpendwa Mzee wetu Mlangira Fredrick Baruti

Mzee Ngalinda kushoto na Mzee Wilson Baruti aliyefiwa na mdogo wake Mpendwa Mlangira Fredrick Baruti

Muendelezo wa matukio ya picha.....

Waombolezaji na Wanaukoo wakiendelea kufuatili yanayojiri katika msiba huu,Pichani kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Wilbroad Mutabuzi
Matukio ya picha yaliyojiri Mazishi ya mpendwa mzee wetu Mlangira Fredrick Baruti.
Wanamama wanachama wa Kikundi cha Tija wakitoa  Salaam za rambirambi
Wanatija wakati wa kitoa Salaam za rambirambi kwa familia ya Mpendwa Mzee Fredrick Linton Baruti.
Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali...
Harlod na Janeth  wakionyesha kuguswa na jambo....
Wanafamilia wakifuatilia kwa Makini kinachojiri kutoka kwa Waombolezaji
France Mutungi mwakirishi wa Umoja wa Bukoba Town (Wa hapa hapa) akitoa salaam za rambirambi
Anaitwa Julian Mello akitoa salaam za rambirambi kwa niaba yake binafsi kama rafiki wa familia na kwa niaba ya Wana Kagera Mpya moja ya Group mahiri pitia mtandao wa Whtsaap,Bwana Mello ameambatana na Bi Alice na Modesta wana wa Kibengwa.
Muendelezo wa matukio ya picha,Salaam za rambirambi zikiendelea...
Wadau wa Mji wa Bukoba yetu wakiwa mameshiriki Mazishi ya Mlangira Fredrick Linton Baruti
Waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali wakiwa wamehudhuria kwa wingi mazishi hayo
Mzee Wilson Baruti Kaka yake na Mpendwa Mlangira Fredrick Baruti akitioa neno.
Kikundi cha akinamama kikitoa Salaam za rambirambi.
Mama Harlod Baruti akipokea Ubani kutoka moja ya kikundi/wanachama wake.
Wawakirishi wa Wajukuu katika salaam za rambirambi
Wajukuu wa mpendwa wetu Mlangira Frederick Linton Baruti pichani..
Makundi mbalimbali wakati wa Salaam za rambirambi Msiba wa Mlangira Fredrick Linton Baruti.
Muendelezo wa matukio ya picha utaratibu wa kutoa Salaam za rambirambi...
Muendelezo wa matukio ya picha utaratibu wa kutoa Salaam za rambirambi...
Mrs Chichi Nyamwihula pichani
Kaka Alex Mtiganzi na Wanachama wenzake kutoka Jijini Dar es Salaam wakitoa wakifikisha Salaam zao za rambirambi kwa familia ya Mlangira Fredrick Baruti
Katibu Mwenezi mkoa wa Kagera Ndugu Hamim Mahmudu omary akitoa salaam za rambirambi kwa familia ya Mlangira Fredrick Linton Baruti
Pichani anaonekana Mh.Shabani (Diwani Kata Bakoba)  mwakirishi wa Mbunge wa Jimbo la Bukoba,
Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mh. Stephen Byabato msiba wa Mlangira Frefrick Baruti
Mama Kisha pichani.
Kaka Harlod Baruti akipokea Ubani kufuatia msiba wa Mzee wake Mlangira Fredrick Baruti.
Kushoto ni Bwana Jamal Kalumuna akisema kama muongozaji wa ratiba na taratibu zote za msiba huu na kulia kwake ni Ndugu Mutarubuka akitoa salaam za rambirambi kwa familia ya Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Linton Baruti
 Muendelezo wa matukio ya picha kupitia Bukobawadau
Neno la faraja kutoka
kwa Dk Abednego Keshomshara Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba.
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Burugo akitoa mahubiri msiba wa Mlangira Fredrick Baruti
Wanakwaya wakiwajibika kwa nyimbo za kuabudu katika mazishi ya Mzee Fredrick Linton Baruti yaliyofanyika Ijumaa Nov26,2021     Burugo-Bukoba.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wameshiriki Ibada ya Mazishi ya Mlangira Fredrick Linton Baruti
Mama Muhazi miongoni mwa Waombolezaji walihudhuria Mazishi ya mpendwa wetu Mlangira Fredrick Linton Baruti
Sehemu ya waombolezaji
Mzee Winston Baruti na Mzee Masabala pichani
Kuelekea kutoa heshima za mwisho
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Ndugu Muhamed Kikwemu akitoa heshima zake za mwisho Mwili wa mpendwa Mlangira Fredrick Linton Baruti
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea
Moja kwa moja kutoka Burugo-Mugeza Bukoba,Mazishi ya Mlangira Fredrick Baruti
Mamia kwa mamia ya waombolezaji wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho...
Waombolezaji wakitoa heshima zao za mwisho.
Taswira mbalimbali msibani hapo
Tupo na Organizer Mtaalam Rahym Kabyemela  pichani
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea kwa watu wote...
Hakika watu ni wengi kweli kweli msiba wa Mlangira Fredrick Baruti
Zoezi la kutoa heshima za mwisho
Muendelezo wa matukio ya picha wakati zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea
Bwana Jona Baruti akitoa heshima zake za mwisho Mwili wa Baba Mdogo wake,Mlangira Fredrick Baruti
Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri mazishi ya Mlangira Fredrick Linton Baruti
Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri mazishi ya Mlangira Fredrick Linton Baruti
Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri mazishi ya Mlangira Fredrick Linton Baruti
Wanafamilia wakitoa heshima zao za mwisho kwa mpendwa wao
Baadhi ya wanafamilia wakati wa kutoa heshima za mwisho,Mwili wa Mlangira Fredrick Baruti
Nenda Salama Baba Tutaonana Badae...
Frances Mtungi huyu ni rafiki wa karibu na familia hii ya Mlangira Fredrick Baruti
Bi Murungi Badru Kichwabuta akitoa heshima za mwisho ,Mwili wa Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Baruti
Ni Uchungu Huzuni Machozi Na Vilio Vya waombolezaji  Kwa Mpendwa Wao,Mzee wetu Mlangira Fredrick Baruti.
Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima zao za mwishoTaswira
Mola ampe pumziko la Milele Mzee wetu
Matukio na Bukobawadau Media Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043
Wazee wetu Mzee Winston Baruti na Mzee Ngalinda...
Mzee Masabala akitoa heshima zake za mwisho.
Ndugu Hamim Mahmudu omaryKatibu Mwenezi CCMN mkoa wa Kagera akitoa heshima za mwisho mwili wa mpendwa wetu Mlangira Fredrick Linton Baruti.
Raha ya milele Ampe ebwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Mlangira Fredrick Baruti
Dk Abednego Keshomshara Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Linton Baruti
Wajukuu wakitoa heshima zao za mwisho kwa Babu yao mpendwa.
Tunakulia Mzee wetu, Mwalimu Wetu, Mlezi wetu, Mshauri wetu Baba yetu Nenda Salama Baba
Kwa pamoja watoto wa kuzaliwa na Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Lintoni Baruti wakitoa heshima zao kwa Baba yao Mpendwa
Ni huzuni mkubwa  Machozi Na Vilio vikiendelea kutawala msiba wa Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Baruti
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa wakati wanafamilia na Watoto wa Mlangira Fredrick Linton Baruti wakitoa heshima za mwisho kwa mpendwa wetu,Raha ya milele ampe ebwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
Kisha Baruti na Vivian Baruti katika Last Lespect
RIP Baba tutakukumbuka daima milele 
Wachungazi wakati wa kutoa heshima zao za Mwisho mwili wa Mlangira Fredrick Linton Baruti.
Dada Janeth Edward  akitoa Shukrani kwa niaba ya familia...
Neno la Shukrani kutoa kwa familia ya Mlangira Fredrick Linton Baruti
.......Muendelezo wa matukio ya picha...
Mr Edward Mkwe wa familia ya Mlangira Fredrick Linton Baruti
Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043
Jeneza la mwili wa Mpendwa Mzee wetu Mlangira Fredrick Baruti wetu likiwa limebebwa kuelekea eneo la Kaburi 
Hakika hii ndiyo safari ya Mwisho ya Maisha ya Mlangira Fredrick Baruti.
Baba Uvipiga vita vilivyo vizuri, mwendo Umeumaliza, Imani Umeilinda,Tangulia Baba..!
Jamani Poleni sana Sana Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu, Mkono wa BWANA uwe juu yenu
Watoto wa Kuzaliwa na Mlangira Fredrick Baruti wakitokwa na machozi wakati wa kuweka Udongo kwenye kaburi la Baba mpendwa...
Mh Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza akiwka Udongo kwnye Kaburi la Mlangira Fredrick Baruti
Wachunguji wakiwka Udongo kwenye kaburi la Mpendwa wtu Baba yetu Mlangira Fredrick Baruti.
Utaratibu wa kuweka Udongo ukiendelea
Ruga Baruti na ndugu zake wakiweka Shada la Maua
Kina Emiry Baruti wakiweka Shada la maua katika Kaburi la Mlangira Fredrick Linton Baruti
Mzee Masasi na Mke wake wakiweka Shada la Maua
Endela kufatilia kurasa ztu za Facebook ,Youtube na Instagram kwa matukio ya Video Mazishi ya Mlangira Fredrick Baruti
Watoto wakiweka Shada la Maua
Kwa pamoja watoto wa Mzee Fredrick Baruti wakiweka Shada la Maua
Endelea kuwa nasi kwa mtiriko mzima wa matukio haya...
Mze Mganyizi Zachwa
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bukoba Mjini akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Mlangira Fredrick Baruti
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea...
Wajukuu wakiwa tayari kuweka Shada la maua
Mutafurwa family wakiweka shada la maua Mazishi ya Mlangira Fredrick Baruti
Rahym Kabyemela akiweka Shada la maua
Tija kama tija wakiweka Shada ya maua
Muendeleo wa Matukio ya picha eneo la kaburi utaratibu wa kuweka Mashada ukiendelea  Mwisho na Wafiwa kurudi ndani

Kaka Hassan na Bwana Folo wakibadilishana mawazo mara baada ya Shughuli ya mazishi ya Mlangira Fredrick Baruti
Pichani anaonekana Mze John Kataraia akiwa ameungana na wanafamilia Wenzake.
Wafiwa wakiwa ndani mara baaada ya Shughuli ya Mazishi
Picha mbalimbali kwa Ajili ya kumbukumbu
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu mara baada ya mazishi ya Mpendwa Wetu Mlangira Frdrick Baruti
Marafiki katika picha ya pamoja mara baada ya maziko
Marafiki katika picha ya pamoja mara baada ya maziko ya Mlangira Fredrick Baruti
Kaka Alex Mtiganzi pichani
WanaTija Katika picha ya pamoja kwa Ajili ya Kumbukumbu
Ndugu Yunus Kabyela pichani
Mlangira Lambart pichani kulia.
MWISHO :Familia ya Marehemu Mulangira Fredrick Linton Baruti wa Burugo Bukoba Wanatumia fursa hii kutoa shukrani za dhati kabisa kwa wote walioungana nao kuwafariji kwenye msiba mkubwa wa mpendwa Baba yao Mlangira Fredrick Linton Baruti aliyefariki tarehe TAREHE 22/11/2021 na kuzikwa tarehe 26/11/2021 Nyumbani Burugo (Mugeza)-Bukoba .
Wanasema; Asanteni! Asanteni! Asanteni sana ! na Mungu awabariki katika maisha yenu.


 
 

 


 


 Next Post Previous Post
Bukobawadau