Bukobawadau

AQDI NIKKAH YA AL MASOUD KIPANYA NA HIDAYA MUZZO YAFANA SANA!


Tunawapa pongezi Wawili hawa kwa kufunga pingu za Maisha, Bwana Masoud Nyomwa Kipanya na Bi Hidaya Muzzo,Tunawatakia ndoa yenye Kheri  baraka, masikilizano , mapenzi, amani,na Mafanikio Hongereni Sana.


Furaha ya wawili hawa mara baada ya ndoa yao ilifungwa Jan 21,2022 Nyumbani kwao na Bi harusi Kijijini Kilimilile Bukoba.


Umati mkubwa wa Waalikwa wakifuatilia kinachojiri katika harusi hiyo iliyofanyika Kijijini Kilimilile Bukoba nyumbani kwao na Bi Harusi.


Taswira wakati maulid ya ndoa ya Bwana Masoud Kipanya na Bi Hidaya Muzzo ikiendelea.

Baadhi ya ndugu wa familia ya Bwana Al Masoud pichani
Hajji Hashim Kamgunda akifurahia Jambo na Hajjath Zahra
Qaswira ikiendelea kutumbuiza Ukumbini
Burudani ya Qaswida ikiendelea kuchukua kasi ukumbini
Bwana Harusi Al Masoud Kipanya akiteta jambo na Wadogo zake
Muendelezo wa matukio ya picha
Muendelezo wa matukio ya picha hafla ikiwa inaendelea
Muendelezo wa matukio ya picha kutoka Kijijini Kilimilile Bukoba,harusi ya Al Masoud na Bi Hidaya
Sheikh Hashim Kamugunda na Bw.Masoud katika Picha ya Pamoja mara baada ya nikkah ya mtaala Bw Masoud  na Bi Hidaya Muzzo iliyofanyika Jana kijijinii Kilimilile #Bukoba
Utambulisho upande wa Bwana harusi ukitolewa.
Mama Mzaa Chema pichani
Mzee Muzzo Baba mzazi wa Bi Harusi wetu akitoa utambulisho kwa Vijana wake wa Kiume.
Utambulisho upande wa Bi Harusi ukitolewa na Kaka yake.
Dada zake na Bi Harusi wakiwa wamesimama wakati wa zoezi la Utambulisho
Hakika Bi Harusi amependeza katika vazi lake la harusi!!
Bwana Masoud Nyomwa Kipanya na Bi Hiday katika utayari wa kupokea zawadi kutoka kwa ndugu na marafiki wa familia waliohudhuria harusi hiyo.
Muendelezo wa matukio ya picha kutoka Kijijini Kilimilile Bukoba,harusi ya Al Masoud na Bi Hidaya
Mlango wa pili wa quran ukisoma....
Mwenyezi Mungu awatangulie katikandoa yenum ikawe ya baraka na amani.
Sasa Bukobawadau tuna Offer kabambe ya coverage ya Picha na Video kwenye matukio mbalimbali ikiwa ni sehemu ya huduma kutoka kwetu Siku zote @bukobawadau .Wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Next Post Previous Post
Bukobawadau