Bukobawadau

ZAGWA SPORTS CLUB WAFANYA USAJIRI WA VIJANA CHINI YA MIAKA 14

ZAGWA SPORTS CLUB Wameendelea na Zoezi la Usajiri wa vijana wenye vipaji kuunda timu ya kudumu ya mpira wa miguu ya ZaGwa Sports Club
Zoezi hilo limeendelea kwa siku mbili mfuliulizo katika Uwanja wa Mugeza Manispaa Bukoba ambapo kwa Siku ya Jumamosi March 12,2022 Vijana 120 walijitokeza.
Rais wa Club hiyo Wallace Rugangila na Mkurugenzi wa ZaaGwaa Holdings Limeted akiongea na #Bukobawadau amesema lengo kubwa ni kuboresha kikosi cha Vijana hawa ili mwaka 2026 wawe mabingwa wa mkoa na kushiriki TFF Primier League mwaka 2028


 

Next Post Previous Post
Bukobawadau