Bukobawadau

MATANGA YA OMWAMIKAZI MA APOLONARIA KAITAVU LUTINWA

Familia ya Omwamikazi Ma Apolonaria Kaitavu Lutinwa wa Kashambya Gera  imeungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada takatifu ya kuanua matanga kifo cha Mama yao Mpendwa Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa.
 

Sehemu ya Walangila walioweza kuhudhuria Ibada takatifu ya kumaliza matanga ya Omwamikazi Ma Apolomaria Kaitavu Lutinwa
 Muda mchache kabla ya Ibada ya matanga ya Omwamikazi Ma Apolomaria Kaitavu Lutinwa iliyofanyika mwishoni mwa Juma nyumbani kwa familia Kijijini Kashambya Gera Wilayani Missenyi.
Inaendelea..
Padre akinyunyuzi maji kubariki kaburi la Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa
Mundelezo wa matukio ya picha eneo la Kaburi
Wanafamilia wakiweka Mishumaa katika kaburi la mpendwa wao Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa
Wanafamilia wakiweka Mishumaa katika kaburi la mpendwa wao Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa
Wanafamilia na Wanaukoo kwa pamoja wakiwa eneo la kaburi kumuombea Mpendwa Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa.
Wanaukoo wakiendelea na Ibada maalum ya kumuombea Mama yetu Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa
Sehemu ya Walangila pichani anaonekana Chifuman,Mlangila Sunday na Mlangila Justin Lambert na Mlangila Chichi Nyamwihula sambamba kabisa na Wazee wengi walangila kutoka maeneo mbalimbali
Wajukuu wa Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa Katika picha ya pamoja kwa ajili ya Kumbukumbu
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu....
Taswira eneo la tukio utaratibu wa huduma safi ya chakula ukiendelea...
Muendelezo wa matukio ya picha.
Watoto wa kuzaliwa na Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa wakiongozwa na Mlangila Focas Lutinwa pichani kulia
Mambo ya kimila pamoja na kuwapongeza Watoto wa Omwamikazi Ma Apolonaria Kaitavu Lutinwa


Mzee Cathbert Basibila akiwa ameungana na wananchi wengine waliohudhuria tukio hili
Burudani kutoka kwa Msanii wa Nyumbani
Muendelezo ya matukio ya picha...
Pata Sehemu ya pili ya matukio ya burudani 
Mama Kataruga pichani kushoto akifuatilia burudani zinazoendelea ukumbini
Wanafamilia wakifatilia burudani zinazoendelea ...
Mlangira Focas Lutinwa akifurahia jambo
Umati mkubwa wa watu wakiwa wamehudhuria tukio hili 
Watu ni wengi kweli kweli ,Matanga ya Omwamikazi Ma Apolonaria Kaitavu Lutinwa
Sasa ni mwendo wa kufurahi na kucheza
Tukio lilipambwa na burudani za kila aina
Katika tathmini anaonekana Mlangila Focas na Uncle Msafiri wakifurahia jambo
Hivi ndivyo ilivyokuwa sehemu ya matukio ya kwanza katika shughuli ya Matanga ya Omwamikazi Ma Apolonaria Lutinwa
Picha mbambali kwa ajili ya kumbukumbu.
Mtaalam Endrew Peter Kato akiteta jambo na mama.
Next Post Previous Post
Bukobawadau