Bukobawadau

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa pamoja na Majaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Ikulu Jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Septemba, 2022 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Septemba, 2022  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha pamoja na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Septemba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Septemba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud pamoja na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Septemba, 2022 

Next Post Previous Post
Bukobawadau