Bukobawadau

UMATI WAMLILIA MA LEOCADIA KOKUGONZA MKANDARA

Umati wa waombolezaji wamehudhuria mazishi ya Mpendwa wetu Ma Leocadia Mukandara Kijijini Kwake Buganguzi -Muleba.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mama yetu Ma Leocadia mahali pema peponi, na awajalie Ndugu, Jamaa na Marafiki faraja kwenye hiki kigumu.Amen!!

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau