Bukobawadau

YALIYOJIRI KATIKA SEMINA YA UREJESHO KANISA LA (KKKT) USHARIKA WA KIGARAMA -KANYIGO

Muonekano wa Kanisa  la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Maghariba  (DKMG) Usharika wa Kigarama ilipofanyika Semina ya Wahudumu wa Kanisa hilo tarehe 2 Sept,2022

Mchungaji Samuel Rwezaula Kanisa  la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Maghariba  (DKMG) Usharika wa Kigarama  akifungua rasmi Semina ya Urejesho ya wahudumu wa Usharika Kigarama liyofanyika Sept 2,2022. Iliyolenga juu ya Umoja katika huduma waliyopewa na Mungu pia kutimiza malengo ya Xmass pamoja na hafla ya Siku kubwa ya 'Kigarama Day' itakayofanyika tarehe 24/12/2022.


Semina ya Wahudumu wote Usharika wa Kigarama wakifuatilia mada inayoendelea Sehemu ya kwanza iliyolenga juu ya Umoja wao.

Muendelezo wa matukio ya picha.
Mchungaji Alex Kasisi akitoa mada ya kwanza kuhusu ''UMOJA NA UPENDO PAMOJA NA MUONEKANO WETU KATIKA HUDUMA YA KANISA''
Mchungaji Alex Kasisi akiendelea kushusha nondo.
Baadhi ya Viongozi wa Kanisa la KKKT Usharika wa Kigarama.
Dr Eunias Ntangeki akibabadua kwa dhati Mada isemayo ''Tulipo toka na Tulipo''
Bwana Amani Kikumi akitoa Mada kuhusu ''WAJIBU WETU'' ikiwa imebeba mambo mbalimbali kikubwa ni haki na Wajibu. 

Pichani kushoto anaonekana Mchungaji Alex Kasisi katika hali ya usikivu wakati ndugu Amani Kikumi akiendelea kuwaelimisha watoa huduma wa Ushirika wa Kigarama namna bora ya Misingi inayotakiwa .

Wahudumu wa Usharika wakiendelea kufuatilia mada mbalimbali zinazoendelea..
Kumbukizi wanakwaya wa Zamani katika Usharika wa Kigarama wakiwajibika
Pichani ni WanaKwaya walihudumu mwishoni mwa 90 wakijaribu kuonesha umahiri wao kwa wimbo Maalum wa kumsifu Bwana .
Muendelezo wa matukio ya picha
Taswira mbalimbali wakati Semina kwa wahudumu wa Usharika wa Kigara inaendele
Wanausharika wakijibu maswala kutokana mada husika
Wanausharika wakijibu maswala kutokana mada husika
Mchungaji Alex Kasisi akifurahia burudani ya ngoma
Muendelezo wa matukio ya picha


Mchungaji  Alex Kasisi na Mchungaji Samuel Rwezaula Kanisa  la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Maghariba  (DKMG) Usharika wa Kigarama wakikata keki kwa pamoja hii ni ishara ya Upendo kwa wahudumu wote wa usharika
Kwaya ya Vijana kutoka katika kuu Bukoba wakiwajibika
Burudani ikiendelea kutoka kwa Kwaya ya Vijana KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi (DKMG)

Kwaya ya Vijana ikiendelea kutoa burudani

Muonekano wa Kanisa  la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Maghariba  (DKMG) Usharika wa Kigarama ilipofanyika Semina ya Wahudumu wa Kanisa hilo tarehe 2 Sept,2022 kuelekea siku ya Kigarama Day ikiwa wanatarajia kukusanya Shilingi  milioni 50.
.

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau