PAMELA KOKWENDA ''AMAKULA'' MAHARI DAY - KIKUKWE KANYIGO
Anaitwa Pamela Kokwenda Njumba pichani wakati wa hafla ya kupokea mahari yake iliyotelewa kwa wazazi wake Nyumbani Kijijini Kikukwe -Kanyigo Mkoani Kagera.April 29.2023.
Mshenga
Mtu na mtu wake pichani mara baada ya taratibu za kuvalisha pete ya Uchumba (Engagement Ring)
Furaha kuelekea maisha ya pamoja kiujumla..
Mshenga
Muendelezo wa matukio ya picha.
Sehemu ya waalikwa waliohudhuria hafla ya kupokea mahari ya Pamela Kokwenda,Pichani kutoka kushoto Fabian Kalikawe,Titus Bushaija na Bandari Mishani ambao ni marafiki wa familia ya Mlamngila Michael Njumba.Tukio la kuvalisha pete ya uchumba alama ya upendo kwa wawili hawa ya kwamba wamejizatiti kikamilifu.
Furaha kuelekea maisha ya pamoja kiujumla..
...Inaendeleaaa.
Hakika ni furaha kubwa tukio lililogusa hisia za watu wengi.