Bukobawadau

TCAA WASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2023/24

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto) akisaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24 na Mkurugenzi Mkuu wa   Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA) Hamza Johari, Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), Hamza Johari (kulia waliokaa) pamoja na watumishi wa sekta ya Uchukuzi, mara baada ya kusaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto)  akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa   Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA) Hamza Johari, mara baada ya kusaini mkataba wa kiutendaji kwa mwaka 2023/24, Jijini Dodoma.

 

PICHA NA WUU


 


 


 

Next Post Previous Post
Bukobawadau