Bukobawadau

MUFTI AENDELEA NA ZIARA YAKE STOCKHOLM SWEDEN

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Bin Zuberi ameendelea na ziara yake ya Siku 10 nchini Swedeni leo Ijumaa Oct 25,2024

Ziara hiyo iliyoratibiwa vyema na Taasisi ya *Taawanu* Mufti ameambatana na Katibu wake Sheikh Musa Hemed pamoja na Mjumbe wa Halmashauri kuu Bakwata na Muteule wa Mufti Al hajj Sheikh Hashim Kamugunda sambamba na Mwenyekiti wa Taasisi ya Taawanu Hajjat Zahra .
Ambapo leo Ijumaa. Oct 25,2024 Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Bin Zuberi amewaongoza waumini wa Dini ya Kiislam Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Medboria ambao ni Msikiti mkuu wa Stockholm

📍Stockolm

 

Previous Post
Bukobawadau