Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan achukua Fomu za kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa -Dodoma
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Wilaya ya Chamwino waliojitokeza kumuunga mkono tarehe 09 Agosti, 2025 wakati akielekea katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba, 2025. Pia wananchi hao walimchangia kiasi cha Shilingi laki mbili na nusu ili zimsaidie kulipia fomu hiyo.
Matukio mbalimbali mara baada ya Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 09 Agosti, 2025.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanachama pamoja na wananchi waliokusanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mara baada ya kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Rais tarehe 09 Agosti, 2025.