Bukobawadau

Dkt. Samia Aitikisa Mbeya – Wananchi Wajitokeza kwa Wingi


Mgombea wa Urais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kuzungumza na wananchi wa Mbeya Mjini, Septemba 4, 2025. Wananchi walijitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza, huku mkutano huo ukijaa shamrashamra na hamasa kubwa. Dkt. Samia aliwasilisha Ilani ya CCM 2025–2030 inayolenga kuboresha maisha ya wananchi na kuimarisha maendeleo ya Taifa.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Mbalizi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbalizi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Mbalizi mara baada ya Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili Mbeya Vijijini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.

𝙍𝙖𝙞𝙨 𝘿𝙠𝙩. 𝙎𝙖𝙢𝙞𝙖 𝙖𝙩𝙤𝙖 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙪 𝙯𝙖 𝙨𝙝𝙪𝙠𝙧𝙖𝙣𝙞

Moja kati ya kitu muhimu katika maisha ni kushukuru, kushukuru humsaidia mwanadamu kufunguliwa njia za mafanikio kwa siku za mbeleni.
Kwa kuzingatia hilo, Naye Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝗮𝗮𝗻 anatoa shukrani zake za dhati kwa Wananchi wote wa mkoa wa Mbeya kwa namna ambavyo wamempokea kwa shangwe na kuonesha mapenzi yao ya dhati kwake.

Rais Dkt. Samia ameendelea kutoa shukrani kwa namna ambavyo wananchi wa Mbeya wameonesha kuzikubali sera za CCM na kumuahidi kumpa kura za kutosha ifikapo Oktoba 29.
#KaziNaUtu#Kampeni2025 #BukobawadauMatukioMbeya #CCM #SuluhuNiSuluhu #UchaguziMkuu2025 #SamiaForPresident #SamiaSuluhu #WananchiNaSamia #KuraMojaUshindi#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mbalizi mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mbalizi mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbalizi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
#Kampeni2025 #BukobawadauMatukioMbeya #CCM #SuluhuNiSuluhu #UchaguziMkuu2025 #SamiaForPresident #SamiaSuluhu #WananchiNaSamia #KuraMojaUshindi
#KaziNaUtu#Kampeni2025 #BukobawadauMatukioMbeya #CCM #SuluhuNiSuluhu #UchaguziMkuu2025 #SamiaForPresident #SamiaSuluhu #WananchiNaSamia #KuraMojaUshindi#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM

Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mbalizi mkoani Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.

 

Mtukio Zaidi tembelea Youtube na Subscribe hapa BukobaWadauLive – Experience Kagera in style!

 

🎥 BukobaWadauLive – Experience Kagera in style!

Content Highlights:
1. 🎉 Live music & celebrations
2. 💍 Traditional weddings & family events
3. 🕊 Memorials & tributes
4. 🏞 Scenic towns & tourist attractions
5. 📖 Cultural stories & local heroes

💡 Subscribe 🔔 and never miss a live event

""""" 
 SamiaSuluhuHassan #CCM2025 #KuraZaMaendeleo #KuraZaUshindi #Tanzania2025 #TeamSamia #Mbeya #Kampeni2025 #BukobawadauMatukioMbeya #CCM #SuluhuNiSuluhu #UchaguziMkuu2025 #SamiaForPresident #SamiaSuluhu #WananchiNaSamia #KuraMojaUshindi

Next Post Previous Post
Bukobawadau