Bukobawadau

MUENDELEZO WA KAMPENI SEP 6,2025 DKT SAMIA AISIMAMISHA NJOMBE

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Makambako katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Njombe tarehe 06 Septemba, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Makambako katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Njombe tarehe 06 Septemba, 2025.
#UchaguziMkuu2025#SamiaSuluhu2025
#MatukioNaBukobawadau#KaziIendelee#IlaniYaUchaguzi2025
 BukobaWadauLive – Ushuhudie Kagera kwa mtindo wa kisasa!
1. 🎉 Sherehe, Ngoma Zetu na  Burudani
2. 💍 Harusi za kitamaduni na sherehe za familia
3. 🕊 Kumbukizi & Matanga
4. 🏞 Vivutio vya utalii & historia
5. 📖 Simulizi za kiutamaduni
6.  Mtaa kwa Mtaa
💡 Jiunge sasa, subscribe 🔔 – usikose tukio lolote LIVE


 



 

Next Post Previous Post
Bukobawadau