SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

07 December 2013

HUKO KIGOMA DR.SLAA APAMBANA NA MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMPINGA

 Hali ilikuwa hivi na kupelea Dr.slaa kukutana na wakati Mgumu akiwa Kigoma

Kutoka Kigoma wafuasi wa CHADEMA wakiandamana kupinga ujio wa Dr SLAA na viongozi wenzake mkoani.

1 comment:

Anonymous said...

Chama kinachokufa ni ccm.Hebu tazama kwa umakini utaona ccm inatumia nguvu kubwa kupambana na chadema na utaona nguvu yao ccm imegonga mwamba wakina chadema wameshituka mapema na kuwafyeka wasaliti ambao wangekiangamiza chama. ukitazama pia kwa umakini hiliswala utaona limewaogopesha sana ccm. chadema itavuka hiki kikwazo na itachukua dola 2015 kirahisi ccm hawajui wanaipigia debe chadema ishinde kwa vitendo vyao vinavyo onekana waziwazi kama vile kuandaa watu kwa garama kuharibu mikutano ya chadema huko kigoma,kuwanunua wakina zito,kitila, said arfi na wengine wengi nasema wengi kwa sababu pesa aliyopewa zito aliitumia kuwannua viongozi wandamizi wa chadema mikoani. mfano juzi hivi nikiwa ndani sa usafiri mjadala ukaanza 99% wakaunga mkono maamuzi ya kamati kuu chadema mmoja alikuwa akipinga sana basi lote lilimshambulia sana akapigwa swali kwa jinsi alivyokuwa amepaniki akalopoka msaada aliopatiwa na zito mil12 + ushauri wa kibiashara na akajitambulisha yeye ni diwani wa kahama(nyasubi). Hapa ccm wanajichanganya tu watanzania 99% tunaona na tutawapiga chini vibaya kwa aibu!!!

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU