SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

16 March 2014

MATOKEO YA AWALI JIMBO LA KALENGA KUTOKA VITUO MBALIMBALI UCHAGUZI MDOGO MATCHI 16,2014

Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa akiwa amebebwa juu na wafuasi wake usiku huu, Match 16,2014 wakati wakisubiri matokeo rasmi kutangazwa.
 Kamanda wa CCM mkoa wa Iringa Salim Asas akicheza kwa shangwe viwanja vya CCM Mkoa kusherekea ushindi wa CCM Kalenga.
Matokeo ya awali yasiyo rasmi  uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Kalenga mpaka usiku huu kutoka vituo mbalimbali CCM inaongoza kwa mbali.

1 comment:

Anonymous said...

Ni ushindi ganiunaopatikana kwa kuwachinja watu na kuwateka wengine wakiwemo waheshimiwa kama alivyofanyiwa Mhe. Rose Kamili? Kama hatungalii mambo haya yanatuingiza kwenye mambo kama yale ya Afrika ya Kati

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU