Bukobawadau

AJALI YA GARI MAENEO YA BUNAZI -KYAKA WILAYANI MISSENYI

Gari dogo aina ya Toyota Opa ikiwa imepata ajali baada ya kugongwa na Basi.Ajali hiyo inalihusisha Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Mutukula Kuelekea Jijini Mwanza.
Ni ajali iliyotokea juzi eneo la Bunazi, baada ya basi la Bunda kugonga Gari dogo aina ya Toyota Opa baada yakuingia katika barabara kubwa kwa kasi.
 Askari wa usalama barabarani wakiwa eneo la tukio.


Next Post Previous Post
Bukobawadau