Bukobawadau

Hapa na pale Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Manisipaa ya Bukoba.

Ujenzi na upanuzi wa uwanja wa ndege unaendelea katika manisipaa ya Bukoba,kama inavyo onekana katika picha kwa siku ya leo hakuna shughuli iliyo endelea tokana na mvua kubwa iliokuwa ikiendelea kunyesha.Jitiada za kuwapata wahusika ili watujuze ni lini asa watakuwa wamekamiliza shughuli hiyo azikufanikiwa kwa mda huo kutokana na mvua.Waweza kuona uzio wa uwanja ulivyo jirani kabisa na shule ya msingi Tumaini.
Wanafunzi wa Tumaini shule ya msingi kama walivyo onekana na camera yetu mda mchache uliopita,uku mvua ikinyesha na hawana shaka kabisa juu ya swala la jam kuelekea kunako husika kama inavyo onekana katika picha
Wanafunzi wa shule ya msingi Tumaini wakicheza.
Next Post Previous Post
Bukobawadau