Bukobawadau

HOTUBA YA GHADDAF JUU YA KUTAKA MAZUNGUMZO


Kiongozi wa Libya,Kanali Gaddafi,ametoa wito kwa NATO kufanya mazungumzo ili kusimamisha mapigano,Kiongozi huyo alisema yupo tayari kusimamisha mapigano ikiwa pande zote zitakubaliana na endapo NATO itaacha mashambulio yamabomu na alikataa lile dai kubwa la (wapinzani wake) na jumuiya ya kimataifa kumtaka yeye aondoke.

Alisema hatong'atuka wala kuihama Libya.
Hotuba hiyo ya ghadafi ilikuwa mchanganyiko wa kukaza na kulegeza kamba.

Alisema kila mwananchi wa Libya sasa anakabili mambo mawili:uhuru ama kifo.Hakuna kusalimu amri alisema,hakuna hofu wala kuondoka.
Next Post Previous Post
Bukobawadau