Bukobawadau

MISS TANZANIA ATOA MSAADA,ALIPOTEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA ,MANISIPAA YA BUKOBA

Miss Tanzania 2010-2011 Genevieve Mpangala atambelea vituo vya watoto yatima na kutoa misaada mbalimbali,vituo hivyo ni kile cha UYACHO kilichopo kata ya Hamgembe,na kituo cha NUSURA cha kata ya kashai,kata kubwa na yenye wakazi wengi katika manisipaa ya bukoba.
Miss Tanzania akisaini kwenye kitabu cha wageni.
Miss Tanzania katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo cha kashai Mama Nuru.Mama huyu pamoja na kufanya mambo mengi ,nikwamba kajitoa saana katika swala zima la watoto yatima,kwa hakika walio wengi mmeshuudia.
Anaonekana Miss Genevieve Mpangala akikabidhi zawadi kwa mtoto yatima kwenye kituo cha UYACHO kilichopo kata ya Hamgembe mjini bukoba.Picha na habari by Mc
hii ni sehemu ya malazi ya watoto yatima,ata wewe mdau unaweza kujitolea kufika pale na kuona kinacho endelea na kutoa chochote ulicho nacho.Picha ya juu ni Mama mlezi wa kituo cha Hamgembe Bi Saudi ni maarufu kwa jina la Mtibora,anaonekana akipewa neno na Ndg.Albert Makoye,yeye ni mkuu wa itifaki kamati ya miss Tanzania.
Miss Tanzania ndani ya studio za 88.5 Kasimbante Fm Radio
Mr Albert Makoye na Miss Genevieve Mpangala on air ndani ya studio za radio kasibante.
Ni Mkurugenzi wa radio vision Ngd Valelian akiwa studio na mtangazaji Bi Matrida anaonekana pia mkuu wa itifaki kamati ya miss Tanzania Ndg Albart na Abdulmalick(DJ MAX) kwa niaba BANG ENTERTAIMENT ambao pia ni wahusika wa maandalizi ya Miss Kagera 2011.
Picha ya pamoja nje ya studio za 98.0 Vision FM ni radio mpya katika mji wetu wa Bukoba.
Namna hali ya ukijani inavyo vutia katika ardhi ya bukoba mazao ya maindi,mhogo,na karanga imesitawi vyema kama unavyo weza kujionea katika picha.
Next Post Previous Post
Bukobawadau