Bukobawadau

UZINDUZI WA MISS KAGERA 2011

Vodacom Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa miss kagera 2011.Nitukio la aina yake lililo fanyika katika ukumbi wa linaz night club na kuhudhuriwa na watu wengi,kikubwa kuliko ni umahili Dj's ambapo Dj Cool Mc alisababisha vyema na shughuli nzima ilirushwa live na Radio Kasibante 88.5.Na mtangazaji wake Yusuph Abed(dj y) chini ya msimamizi Emmanuel Mbaule aka Doctar.

Mr Bigambo manager wa voda shop.Katika Picha ya pamoja na Miss Tanzania Genevieve Mpangala.

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Radio Vision 98.0 fm station Ndg Valelian,Miss Genevieve,Ndg Bigambo wa voda shop,Bi Zakia katika picha ya pamoja na mwakilishi wa Engeles Entertaiment Bi Kerun.A.Samma na wa mwisho kulia ni Ndg Albart Makoye mkuu wa itifaki kamati ya miss Tanzania.

Matukio kama haya usiku ni kawaida,gari aina ya Toyota premeo blue yenye namba T416AXB mali ya Ndg Honest inaonekana imegongwa kwanyuma na gari Nyeupe aina ya mark II yenye namba T575BCQ.Kama unavyo jionea katika picha.Matukio yote by mc.
Next Post Previous Post
Bukobawadau