Bukobawadau

MISS TANZANIA AWASILI MANISPAA YA BUKOBA

Ni ndege ya shirika la ndege la Precision Air mara baada ya kutua kwenye uwanja wa manispaa ya bukoba.

Miss Tanzania 2010-2011 Genevieve Mpangala katika ardhi ya bukoba.

Mwenyeji Bi Zakia akimtambulisha Miss Tanzania kwenye kikundi cha Kakau Band na kuweza kupeana salaam.Kakau Band walikuwepo uwanjani hapo kwa ajiri ya mapokezi na kutoa burudani pia.

Kakau Band wakitekeleza jukumu lao.by mc.

Kwa wenzetu kujiongeza ni swala la kawaida saana!!by mc.

Baada ya mapokezi safari ya kumpeleka hotelini ikaanza.

Miss Tanzania 2010-2011 Genevieva Mpangala akiwasili Victoria Pearch Hotel,Hotel mpya iliopo mkabara na linaz night club.by Mc

Pichani ni Mr Albert Makoye,yeye ni mkuu wa itifaki kamati ya miss tanzania hapo anaonekana akisaini kitabu cha wageni.Punde tu tutaongea nae ili tujuwe madhumuni ya ziara hii.Na sie bukobawadau,tutakufahamisha wewe msomaji kwa kina ikiwa ni sambamba na matukio yote yatakavyo jiri,hii yote ni kuhakikisha wewe mdau unapata kile kinacho sitahili.by Mc

BANG INTERTAIMEMT wale mwaandaji wakubwa wa matamasha ya ONE MIC,na shughuli nyinginezo zenye uzito wa aina yake,nao pia wamo kuakikisha kila kitu kinaenda kama ilivyo ada.Kama wanavyo onekana pichani na Miss Tanzania 2010-2011.
Miss Tanzania Genevieva Mpangala.
Next Post Previous Post
Bukobawadau