Bukobawadau

Ajari mbaya Rwamishenye!!!!!!

Hivi ndivyo hali halisi ilivyo kuwa na sijui lini tutafika...swala la ajari linaonekana kuchukuliwa kawaida saana na vyombo husika.Camera ya wadau ilifika kwenye tukio mda mchache baada ya ajari na tarifa tulizo nazo watu wote waliokuwemo kwenye gari dogo wapo hospitali ya mkoa na hali si nzuri saana.
Next Post Previous Post
Bukobawadau