Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU!!!!

Kama wanavyo onekana wadau kutoka kushoto ni Mr Mo meca,Mishaelle Kaufman,Elasmus George(misifa),Anthony Kayunga na wa nyuma aliyesimama ni Miss Harrieth.
Mdau al maarufu Yusufu Wastara.kama alivyokutwa na camera ya wadau,huyo bibie kwa jina ni Bi Salma aka waukweli kama anavyo penda mwenyewe kujiita nasi tunazingatia hilo.


Camera yetu ilivutiwa saana namna kijana Evodius (dogo ditto)alivyokuwa kajipanga ..alipendeza unadhifu ndio mpango mzima ,safi saana kijana na huu ni mfano wa kuigwa na vijana wenzake.
Anaonekana Ndg Aloyce (dj bausha)kushoto akiwa na mwenzake Abdumalick Tungaraza(dj Max)wakijaribu kuratibu mambo katika shughuli zao na asa maswala ya Miss Kagera.
Picha ya mdau Kenny Dulle katika hali ya utulivu kabisa.
Hii ndio hali halisi ya wananchi wengi mkoani kagera.Usafiri mkubwa au kipandio kikubwa kwao ni baiskeri.
Next Post Previous Post
Bukobawadau