Bukobawadau

MICHUANO YA KAGASHEKI CUP;Maandalizi yakamilika!!!!!!!!

Mashindano ya Kagasheki cup yanatalajia kuanza Jumapili tarehe 24-7-2011 ambapo maandalizi yote yamekamilika na vifaa vya michezo vimefika na tayari kwa kugawiwa kwa timu zote shiriki.

Match ya ufunguzi itakuwa kati ya Bakoba na Miembeni timu zenye upinzani mkubwa saana wa kisoka,kwani kila zinapokutana hakuna anaye kubali kushindwa kirahisi.Pichani ni Ndg Ernest Nyambo mjumbe wa kamati ya Kagasheki Cup akionyesha vifaa vya mpira vilivyofika na kutoa maelezo kwa mwandishi wetu.
Pichani ni Ndg Sudy kushoto na Ndg Ashraf Kalumuna mratibu mipango Kagasheki Cup

Abdurazack Majid Mtangazaji wa 88.5 Kasibante Fm Radio na mjumbe kamati ya Kagasheki Cup
Next Post Previous Post
Bukobawadau