MULEBA:Mazishi ya Zimbihile Rais Kikwete ahudhuria
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wenyewe baada ya kufika Muleba kuudhuria mazishi ya Mzee David Bakanyoma Son Zimbihile.
Watoto wa Hayati Zimbihile Kushoto ni Bi Anitha na Ndg Didas.
Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Nyumba aridhi na Makadhi Mama Anna Tibaijuka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitia Sahihi kwenye kitabu cha wageni.
Pichani kutoka kushoto ni Mama Anna Tibaijuka,wa pili NI Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Muhammed Babu, wa tatu ni Rais Jakaya Kikwete na wamwisho ni Mama Salima Kikwete
Rais Jakaya akiteta Jambo na Mtoto wa Marehemu Ndg Didas
Picha ya Rais akiweka udongo kwenye kaburi
Rais Kikwete akiweka Taji la maua.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera akiweka Taji la Maua kwenye kaburi.
Bi Anitha Zimbile katika hali ya majonzi
Mama Anna Tibaijuka
Mwonekano wa Kaburi
Haji Kambunga naye alikuwepo